News and Events

TTB YASHIRIKI KUWASINDIKIZA WASHIRIKI WA MBIO ZA BAISKELI “Twende Butiama 2020”

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeshiriki katika hafla ya kuwasindikiza washiriki wa mbio za baiskeli zijulikanazo kama “TwendeButiama2020” zenye lengo la kumuenzi Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika kuelekea siku ya kumbukumbu ya kifo chake inayoadhimishwa kitaifa tarehe 14 Oktoba kila mwaka. Shughuli ya uzinduzi wa mbio hizi, ilifanyika Oktoba 4, 2020 nyumbani kwa hayati Baba wa Taifa eneo la Msasani jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na baadhi ya wanafamilia wakiwemo watoto wa hayati Baba wa Taifa na baadhi ya wajukuu.

Events / Fair Fees

Event Status: Open

Twende_Butiama_2020

  • Google+
  • PrintFriendly

Join us on Social Media